Loading...

TETESI: BEYONCE APACHIKWA KIBENDI TENA!!!!

Loading...
Nyota wa R&B, Beyonce Knowles anadaiwa kuwa na ujauzito tena ikiwa imepita mwaka tangu ajifungue pacha na mumewe ambaye pia ni mwana -muziki wa Hip Hop, Shawn Carter 'Jay Z'.

Tetesi za kuwa na ujauzito zilianza kusambaa kwenye mitandao kama moto wa kifuu baada ya staa huyo kuonekana kuongezeka uzito huku mashabiki wakianza kumpa pongezi za kuongeza mtoto wa nne.

Juzikati alipokuwa kwenye ziara ya kimuziki nchini Italia, Beyonce alipanda jukwaani tumbo likionekana kujaa na kuuaminisha umma kuwa ni mama kijacho. Beyonce na Jay Z wamebahatika kupata watoto watatu, Blue Ivy, Rumi pamoja na Sir ambao ni pacha.
Na Fatma Pembe.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
TETESI: BEYONCE APACHIKWA KIBENDI TENA!!!! TETESI: BEYONCE APACHIKWA KIBENDI TENA!!!! Reviewed by By News Reporter on 7/13/2018 10:24:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.