Loading...
Kulikuwa na drama wakati wa mazishi ya kikongwe wa miaka 82 na mpwawe wa miaka 26, Ijumaa, Julai 27 katika kijiji cha Irewa, Kiharu kaunti ya Murang'a nchini Kenya wakati wachungaji walipokataa kuendesha mazishi ya mama huyo.
Wangari Muturi Karanja na Sammy Mwangi Kang'ethe pamoja na mwanamume mwingine kutoka kijiji cha Njumbi, Eneo la Bunge la Mathioya huku nchini Kenya walifyatuliwa risasi na maafisa wa polisi waliofika nyumbani mwa bibi huyo.
Kikongwe huyo alikuwa mwanachama wa kanisa ACK ilhali mpwawe alikuwa muumini wa kanisa Katoliki.
Mtandao mmoja wa habari nchini humo, ilibaini kuwa wachungaji walioendesha mazishi hayo walitoka Kayole, Nairobi na Naivasha.
Bibi huyo aliuawa baada ya kumteka nyara mwanamke, Margaret Waitherero kutoka Kijiji cha Samar, Maragua, aliyeokolewa na polisi wakati wa operesheni hiyo.
Walimkuta na bunduki aina ya AK 47, bunduki la kujitengenezea na risasi. Magaidi hao walikuwa wakitaka kupewa zaidi ya Milioni 11o, pesa za Kitanzania kutoka kwa familia ya Waitherero, ili kumwachilia.
Kulingana na wadokezi wa polisi, tayari familia ya mwanamke huyo ilitoa sehemu ya pesa hizo.
Na Hamisi Fakhi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

WACHUNGAJI WAKATAA KUONGOZA MAZISHI YA KIKONGWE WA MIAKA 82 KISA UJAMBAZI
Reviewed by By News Reporter
on
7/28/2018 09:44:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: