Loading...

AY NA MKEWE WABAHATIKA KUPATA MTOTO WAO WA KWANZA

Loading...
Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo fleva Ambwene Yesaya maarufu kama AY na mke wake aitwaye Remmy wamefanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza kwa pamoja.

Ay na Mke wake ambaye ni Raia wa Rwanda Remmy wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume aitwaye Aviel ambaye amezaliwa nchini Texas, Marekani.

Ay ametangaza Habari hiyo njema Kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuandika haya:
Na Haika Gabriel.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
AY NA MKEWE WABAHATIKA KUPATA MTOTO WAO WA KWANZA AY NA MKEWE WABAHATIKA KUPATA MTOTO WAO WA KWANZA Reviewed by By News Reporter on 8/13/2018 11:39:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.