Loading...
Kama unahitaji mabadiliko fulani katika maisha yako ni wakati wa kuacha kusubiri watu wengine wakufanyie hayo mabadiliko unayoyataka.
Mahatma Gandhi aliwahi kusema " kuwa chanzo/chachu ya mabadiliko unayotamani kuyaona katika dunia hii. Ukifanya hivyo maisha yako lazima yabadilike.
Watu wengi tuna maarifa na uelewa juu ya nini tunatakiwa kufanya ili kubadili maisha yetu lakini mambo bado yanaendelea kubaki vile vile. Ni wazi kwamba haitoshi tu kujua nini unatakiwa kufanya bali unatakiwa kufanyia kazi maarifa hayo kwa kuweka katika vitendo.
Inawezekana kubadili maisha yako, wewe ndio chachu ya mabadiliko yako.
You Deserve The Best!
Vicent Stephen

'ILI KUFANIKIWA UNAPASWA KUWEKA KATIKA MATENDO MAARIFA ULIYONAYO'
Reviewed by By News Reporter
on
8/06/2018 01:44:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: