Loading...
Mvulana wa miaka 16 nchini Indonesia amewaacha wengi vinywa wazi baada ya kufunga ndoa na ajuza wa miaka 70.
Bwanaharusi kirasmi ni mtoto na hangekubaliwa kufanya harusi lakini maafisa wasimamizi waliruhusu kwa madai kuwa wawili hao walitishia kujiua.
Chini ya sheria za Indonesia, mwanamke anafaa kuwa na angalau miaka 16 na mwanamume miaka 19 ndipo mtu aruhusiwe kufunga ndoa.
Urafiki kati ya wawili hao ulianza kunawiri mwanamke huyo kwa jina Rohaya alipoanza kumtunza mvulana huyo alipoanza kuugua Malaria.
Hii ni ndoa ya tatu ya ajuza huyo na ana watoto kadha kutoka kwa waume wake wawili wa awali.
Na Neema Joshua.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

NDOA YA MVULANA WA MIAKA 16 NA KIKONGE WA MIAKA 70 YAZUA GUMZO
Reviewed by By News Reporter
on
8/06/2018 01:38:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: