Loading...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka wanaume kutoitumia likizo ya siku tano ya uzazi kwa wanaume kwenda kunywa pombe.
Aidha, amesema ataifuta likizo hiyo kwa wanaume endapo atajiridhisha haina manufaa na inatumika ndivyo sivyo.
Akizungumza kuhusu Wiki ya Unyonyeshaji itakayoanza leo hadi Agosti 8, mwaka huu, Waziri Ummy amesema likizo hiyo ni kwa ajili ya kumsaidia mama anapokuwa amejifungua na si vinginevyo.
“Likizo ya uzazi kwa wanaume si ya kwenda kunywa pombe, lakini wapo wanaume wanachukua likizo na nyumbani hawaonekani, nitafanya utafiti kuangalia iwapo ina manufaa kama hakuna tutaifuta,” amesema.
Na Catherine Kisese.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

'LIKIZO YA UZAZI SIO YA KUINYWEA POMBE, NITAIFUTA KAMA NDIVYO' - UMMY MWALIMU
Reviewed by By News Reporter
on
8/01/2018 09:36:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: