Mwanadada Lulu Diva amefunguka na kukanusha tetesi za kusambaa kwa video iliyokuwa ikiwaonyesha yeye na rich mavoko wapo chumbani wakionekana katika mapozi ya kimahaba.
Lulu diva ambae kwa muda mrefu amekuwa akisemwa kuwa yupo katika mahusiano ba msanii huyo ambae kwa sasa bado ana kesi nzito dhidi ya waliokuwa mabosi wake kutoka katika kundi la WCB wamekuwa wakikana kila mara kuhusu ukweli wa mahusiano yao.
Hata hivyo kwa kusisiitiza zaidi, mwanadada huyo alisema kuwa yeye hana mah
Loading...
siano yoyote na kwamba yuko single wala hamjui kabisa Rich mavoko.
Hapo awali alipowahi kuulizwa kuhusu mahusiano yake na rich mavoko baada ya kuachana na WCB ,Lulu aliwahi kukaririwa kuwa mambo hayo hayataharibu mahusiano yao lakini cha kushangaza hivi juzi anasema kuwa hana anacho shirikiana na Rich mavoko.
Na Fatma Pembe.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
LULU DIVA ATANGAZA KUWA SINGLE, AKIRI HAMJUI MAVOKO
Reviewed by By News Reporter
on
8/30/2018 12:56:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: