Loading...
Mambo mawili muhimu ambayo unatakiwa uyaamini ili kuruhusu mabadiliko kwa uharaka katika maisha yako.
1. Unatakiwa uamini kwamba UNAWEZA KUBADILIKA SASA. Kukubali ukweli kwamba inawezekana kubadilika muda huo huo utakapofanya maamuzi ya kubadilika
2. Ni muhimu kutambua kwamba WEWE NDIO UNAWAJIBIKA KWA MABADILIKO yoyote yale katika maisha yako. Mtu mwingine hawajibiki bali wewe mwenyewe.
Keep Moving Forward!
Vicent Stephen
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MAMBO MAWILI UNAYOTAKIWA KUYAAMINI ILI KURUHUSU MABADILI KATIKA MAISHA YAKO
Reviewed by By News Reporter
on
8/28/2018 03:26:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: