Loading...

LIL WAYNE AMALIZA UGOMVI NA BABAKE 'BIRDMAN' RASMI

Loading...
UGOMVI wa kifamilia kati ya wasanii Birdman na Lil Wayne umemalizika Jumamosi iliyopita kwenye tamasha la  Lil Weezyana Fest lililofanyika huko New Orleans, Marekani, ambapo Birdman aliomba msamaha mbele ya maelfu ya mashabiki waliokusanyika katika dimba la  Champions Square.

Tukio hilo linafuatia baada ya watu hao wawili kumaliza bifu lao ambapo Wayne alimfungulia mashitaka Birdman kwa kumdai Dola mil. 51 (Sh. bil. 117) ili ajiondoe katika mkataba wake mwaka 2015. Hilo lilimalizika kwa siri mnamo mwezi Juni mwaka huu.
Na Bahati Rashid.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
LIL WAYNE AMALIZA UGOMVI NA BABAKE 'BIRDMAN' RASMI LIL WAYNE AMALIZA UGOMVI NA BABAKE 'BIRDMAN' RASMI Reviewed by By News Reporter on 8/28/2018 03:10:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.