Loading...

MESSI KUSTAAFU SOKA LAKE ARGENTINA

Loading...
Nyota wa Barcelona, Lionel Messi, inasemekana kutangaza kukiacha kikosi chake cha Argentina, 2018.

Inasemekana karibu anaondoka timu yake ya kitaifa baada ya Argentina kutolewa wakati wa robo fainali katika mashindano ya Kombe la Dunia 2018 na Ufaransa. 

Mchezaji huyo mwenye miaka 31 anasemekana anasubiri amuone meneja atakayechaguliwa kusimamia timu ya kitaifa ya Argentina.

Kulingana na ripoti, mshindi huyo mara tano wa Ballon d'Or alisema hatamani kuchezea Argentina mechi za kimataifa 2018.

Amechezea timu hiyo mechi 128 na amefunga mabao 65 na alisaidia kushinda medali ya dhahabu 2008 katika mechi ya fainali dhidi ya Nigeria.
Na Hamisi Fakhi.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MESSI KUSTAAFU SOKA LAKE ARGENTINA MESSI KUSTAAFU SOKA LAKE ARGENTINA Reviewed by By News Reporter on 8/16/2018 07:40:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.