Loading...
Mchezaji huyo aliye na miaka 34 wa Nantes, alisema hayo wakati wa mahojiano na Daily Star, UK.
Alisema pia kuwa alifanya mapenzi na dadake na shangaziye ili kuwa maarufu katika ulimwengu wa soka.
Shiva pia alikiri kuwa alikuwa miaka mitano zaidi ya miaka anayotumia kucheza kandanda, na kusisitiza kuwa ni wazazi wake ambao walibadilisha siku yake ya kuzaliwa.
“Nilifanya mapenzi na shangazi yangu na pia dadangu. Nilala pia na mwanamume na nilikuwa katika uhusiano wa muda mrefu na mwanamume,” alisema kulingana na Daily Star, UK.
N'Zigou alikuwa mchezaji wa umri wa chini kabisa kuwahi kuchezea Africa Cup of Nations.
Akiwa na miaka 16 na siku 93, alitia wavuni bao na kuifanya Gabon kushinda Afrika Kusini 3-1 Africa Cup of Nations. Ndiye mchezaji wa umri mdogo zaidi kuwahi kufunga katika mashindano.
Na Geofrey Okechi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

NYOTA WA KANDANDA AFRIKA AKIRI KUFANYA MAPENZI NA DADAKE NA KUMTOA KAFARA MAMAKE
Reviewed by By News Reporter
on
8/23/2018 08:16:00 AM
Rating:
![NYOTA WA KANDANDA AFRIKA AKIRI KUFANYA MAPENZI NA DADAKE NA KUMTOA KAFARA MAMAKE](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhWsqpXbVHPgoNyDBvVvmx6jSqcr0tzi70nVbU38faZYXNrMW_hxz0t__lnRQkXJY-njZLu2RnsCDHikEmNs312OFOG_mdIet2QEnhd41B_OmnypR6zbuvyrQoAMCyYCjrhTzn-5BIvpxQ/s72-c/NYOTA+WA+KANDANDA+AFRIKA+AKIRI+KUFANYA+MAPENZI+NA+DADAKE+NA+KUMTOA+KAFARA+MAMAKE.jpg)
Hakuna maoni: