Loading...

PICHA YAMPONZA MTALII KUTOKA CHINA

Loading...
Mtalii kutoka China, Chang Ming Chuang mwenye umri wa miaka 66 amefariki baada ya kuvamiwa na kiboko Jumamosi jioni.

Mamlaka ya hifadhi ya wanyama pori ya Kenya imeandika kwenye mtandao wake wa Twitter kuwa raia huyo kutoka China alivamiwa na kiboko wakati alipokuwa anampiga picha katika ziwa Naivasha eneo la sopa resort huko Nakuru.

Huku mwenzie Wu Peng Te mwenye umri wa miaka 62 amenusurika lakini bado yupo hospitali kwa ajili ya matibabu.

Kiboko huyo bado anatafutwa.
Na Catherine Kisese.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
PICHA YAMPONZA MTALII KUTOKA CHINA PICHA YAMPONZA MTALII KUTOKA CHINA Reviewed by By News Reporter on 8/13/2018 11:09:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.