Loading...

WATU WASIOJULIKANA WAMVUA DAVIDO VIATU NA SAA JUKWAANI

Loading...
Juzi usiku msanii wa muziki kutoka Nigeria, Davido amejikuta akishushwa jukwaani na mashabiki wake waliokuwa wamepagawa na show yake jukwaani kunako uwanja wa mpira wa Sam Nujoma.

Davido ambaye alipanda Jukwaani na msanii mwenzie kutoka Nigeria, RunTown alijikuta akivutwa na mashabiki wake huku walinzi wa show hiyo wakijitahidi kumchomoa kutoka kwa mashabiki hao.
Tayari imeripotiwa kuwa wakati anavutwa na mashabiki hao, wahuni walimvua saa na viatu kitu ambacho kilimfanya ashindwe kuendelea na show.
Na Fatma Pembe.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
WATU WASIOJULIKANA WAMVUA DAVIDO VIATU NA SAA JUKWAANI WATU WASIOJULIKANA WAMVUA DAVIDO VIATU NA SAA JUKWAANI Reviewed by By News Reporter on 8/13/2018 11:18:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.