Loading...

STORI YA MTALII ALIYELALA NA WANAWAKE 1400, NA KUWAJAZA 600 UJAUZITO KATIKA ZIARA YAKE YA AFRIKA

Loading...
Wanawake wengi wa Kiafrika huwaona watu wote wa magharibi ni matajiri na pengine wanaweza kuwabadili maisha yao, hivyo basi mtu mmoja aliamua kufunguka kisanga chake cha kulala na maelfu ya wanawake.

Wakati akiongea kwa njia ya mtandao na mtandao mmoja wa habari maarufu kama Africa24, mtalii huyo mwenye umri wa miaka 40, Jean Michel, alikiri kwamba aliwajaza mimba zaidi ya wanawake 600 katika nchi sita tofauti za barani Afrika ikiwemo, Nigeria, Cameroon, Ivory Coast, Togo, Ghana na Guinea, ndani ya kipindi cha miaka miwili.

Ushuhuda huo uliotafsiriwa kutoka katika lugha ya Kifaransa kwenda Kiingereza na Simon Ateba wa Washington, wilaya ya Colombia na ulisomwa hivi:

"Habari za asubuhi Africa 24, Nina ushuhuda wa kuwapa kuhusu visanga na vioja nilivyovifanya katika nchi sita za Kiafrika, ikiwemo Cameroon, Togo, Cote D'Ivoire, Nigeria, Ghana na Guinea. Sijivunii kwa niliyoyatenda. Bali yalikuwa matukio ambayo sikuyatarajia.

"Nchini Ufaransa ninapo tokea, Sikuwa na pesa kabisa. Nilikuwa masikini mpaka siku niliposhinda kamari. Nilishinda euro 550,000. Zilikuwa pesa nyingi sana kupata kwenye maishani mwangu.

"Sikujua nini chakufanyia, na rafiki yangu alipendekeza tukafanye ziara Afrika. Tulishugulikia nyaraka zote, Viza, na vingenevyo,  na safari yetu ya kwanza tulisimama nchi ya Ivory Coast.

"Abidjan (mji mkuu wa Ivory Coast), tulipangisha nyumba yenye fanicha zote. Tulikuwa na pesa za kutosha za kutumia na tulikutana na wakazi wa Ivory Coast na tukaunga urafiki. Walitutambulisha kwa wasichana Wakiivory Coast, na hapo ndipo visanga na vioja vilipoanza.

"Nilianza kufanya ngono na wasichana kila siku. Wakati mwingine, Nililala na wasichana watatu kwa kitanda kimoja.

"Siku moja, Nilikutana na msichana mmoja na nilimpatia pesa, na aliniambia nimuoe. Alikuwa yuko tayari mpaka kushika uja uzito wangu. Sikufahamu kama ilikuwa ni pesa nilizompatia au alinipenda kwakuwa nimetokea Ufaransa ndio kilichomvutia.

"Nilikaa miezi mitatu nchini Ovory Coast, nilitumia euro 60,000 na kulala na zaidi ya wasichana 80. Baada ya kuondoka Ivory Coast, Nilielekea Togo ambapo nililala na wasichana zaidi ya 100 na nilitumia euro 40 elfu.

"Nilikaa Togo kwa miezi 3 na nikaelekea Nigeria. Nigeria ndipo nilipokutana na wasichana wengi zaidi. Sikuwa nazungumza Kiingereza, na inaonekana wasicha wa Nigeria wanapenda wageni zaidi.

"Nilipanga nyumba yenye fanicha zote huko Nigeria na nilifikia nji wa Lagos kwa miezi sita. Nilitumia euro 100,000 na kulala na wasichana 230. Nigeria ndio sehemu niliyoipenda zaidi. Wasichana walikuwepo muda wote na rahisi kuwapata.

"Kutoka Nigeria, Nilielekea Ghana, na baadae nilielekea Cameroon na nilimalizia ziara yangu Guinea. Niliishi katika hizo nchi tatu kwa muda wa mwaka mzima na kutumia zaidi ya euro 200,000. Kama ni kikwambia nililala na wanawake zaidi ya 700 katika hizo nchi tatu, huwezi niamini, lakini utashangazwa!

"Kwa ujumla, Nililala na zaidi ya wasichana 1,400 katika nchi sita tofauti. Na wote ninapicha zao katika albamu yangu, ikiwemo tarehe tulizokutana, majina yao na namba zao za simu. Nimefungua facebook akaunti kwa ajili yao tu.

"Tangu nimerudi Ufaransa, wasichana zaidi ya 600 kati yao wameniambia wana ujauzito wangu. Wengine wanataka kuzitoa, na sijui ni idadi gani kamili walifanikiwa kujifungua.

"Afrika ni bara la kustaajabisha sana, Wasichana ni warembo na wanavutia sana. Wanachotaka ni mwanaume mwenye pesa, na kibaya zaidi hasa anapokuwa mzungu.

"Nimegundua kuwa wanapenda watoto chotara. Sijui kwanini, lakini wengi wao wanaweza kufanya lolote wapate mtoto na wewe. Euro 100 kwa Afrika ni pesa nyingi sana.

"Kufupisha, Nilifanya ziara ya ngono Afrika. Nililala na wasichana 1,400 kwa miaka 2 na zaidi ya 600 walishika ujauzito wangu.

"Najua wengi wenu mtanijaji, lakini sitojali matusi yenu. Najua hicho nilichofanya sio kitu kizuri, lakini nilifurahi kukaa Afrika, na ninapanga safari nyingine kudhuru Senegali, Mali, Gabon, Benin, Niger and Democratic Republic of Congo.

"Siku niliporudi Ufaransa, Nilienda hospitalini kupima afya, na bahati, Nilikuwa sina maambukizi ya virusi vya HIV, na sikuwana na maambukizi ya magonjwa yoyote ya zinaa.

"Rafiki yangu pia alikuwa hajaambukizwa HIV na tunapanga safari nyingine. Sijaenda shule ya upili, kwahiyo samahani kwa makosa yangu ya kimaandishi. Asante kwa kusoma stori yangu" 
Na Geofrey Okechi.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
STORI YA MTALII ALIYELALA NA WANAWAKE 1400, NA KUWAJAZA 600 UJAUZITO KATIKA ZIARA YAKE YA AFRIKA STORI YA MTALII ALIYELALA NA WANAWAKE 1400, NA KUWAJAZA 600 UJAUZITO KATIKA ZIARA YAKE YA AFRIKA Reviewed by By News Reporter on 8/21/2018 02:47:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.