Loading...
Kim Kardashian ameamua kupiga hatua mbele zaidi katika tasnia yake ya upambaji na urembo hata kuamua kupamba 'maiti'.
Mjasiriamali mpambaji wa sura za warembo alisisitiza kuwa 'anamapenzi' na anavutiwa kupamba maiti. Alielezea hayo katika kipindi chake cha runinga cha uhalisia wa maisha yake.
Kim alilazima kumtafuta mtaalam wa maswala ya upambaji wa maiti, Amber Carvaly ili amfundishe namna ya kupamba maiti ambapo zoezi hilo walilifanya katika chumba cha kuhifadhia maiti.
Kiu kilizidi uoga ijapokuwa haikuwa kazi rahisi pale Kim alipoanza kushika vifaa vya upambaji ili kumremba maiti huyo kama mfano.
Na Hamisa Kim.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

KIM KARDASHIAN APIGA HATUA KWENYE UREMBO, SASA AREMBA MAITI
Reviewed by By News Reporter
on
8/21/2018 11:04:00 AM
Rating:
![KIM KARDASHIAN APIGA HATUA KWENYE UREMBO, SASA AREMBA MAITI](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhPO_jPxx619G_he-DkKj_gRUtO7kbXBrHWNwFfYeA12II2J-iMa30scAij9uY6sc86bCu0-GJkUwkonzPArzerv1HL5LpxsxiWkI3BoBR9z0MYwGC28YBf3JyRj7ri8BpN5Dx-G5ocJT0/s72-c/kim+kardashian+kuremba+maiti.jpg)
Hakuna maoni: