Loading...
Marehemu Monica Joseph Magufuli enzi za uhai wake.
Dada wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Monica Joseph Magufuli amefariki dunia asubuhi jana Agosti 19, 2018 katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza alikokuwa akipatiwa matibabu.
Rais Magufuli jana alifika katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza kumjulia hali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli alipomtembelea kumjulia hali dada yake, Monica Joseph Magufuli jana ambapo alikuwa amelazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU) katika Hospitali ya Bugando mkoani Mwanza.
Na Geofrey Okechi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
TANZIA: RAIS MAGUFULI AFIWA NA DADA YAKE
Reviewed by By News Reporter
on
8/20/2018 07:18:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: