Loading...
Kilishuhudiwa kioja katika kanisa moja eneo la Kivaa, Kenya, Masinga huku jamaa akifurushwa kanisani humo kwa kumpapasa mwanadada.
Katika kisa hicho kilichochapishwa katika gazeti la Taifa Leo, jamaa huyo ambaye alikuwa amelewa chakari alivutiwa kanisani humu na mdundo wa mziki.
Alipongia, alianza kunengua kiuno huku aliwasogea kina mama wanakwaya jukwani kabla kuanza kumpapasa mmoja wao akijifanya anacheza.
Hali ilibadilika huku mwanadada huyo alipopiga mayowe akimshutumu jamaa huyo kwa kumshikashika sehemu nyeti.
"UShindwe pepo mbaya wewe. Wewe ni nani? Kwa nini unanipapasa. Toka nje hapa si kilabuni ambapo huwa mnapapasana," jamaa huyo alitimuliwa juu kanisani huku baadhi wakitaka kumcharaza kwa kukosa heshima kanisani.
Na Fatma Pembe.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

AIBU JAMANI; JAMAA ATIMULIWA KANISANI KWA KUMTOMASA MUUMINI
Reviewed by GEOFREY MASHEL
on
9/21/2018 09:02:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: