Loading...

AJALI YA MV NYERERE UPDATES: 44 WAPOTEZA MAISHA NA 37 WAOKOLEWA

Loading...
Zoezi la uokoaji wa abiria waliokuwemo katika kivuko cha MV Nyerere kilichozama  linaendelea, baada ya jana kusitishwa kutokana na kuingia kiza ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela amesema mpaka sasa watu waliyookolewa wakiwa hai ni 37 na waliopoteza maisha ni 44.

RC Mongela amesema Kivuko hicho haikujulikana kilikuwa na idadi ya watu wangapi.

"Tuwaombee ndugu zetu watoke salama, Mungu alaze roho za marehemu mahali pema peponi. AMINA"
Na Geofrey Okechi.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
AJALI YA MV NYERERE UPDATES: 44 WAPOTEZA MAISHA NA 37 WAOKOLEWA AJALI YA MV NYERERE UPDATES: 44 WAPOTEZA MAISHA NA 37 WAOKOLEWA Reviewed by GEOFREY MASHEL on 9/21/2018 07:52:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.