Loading...

TAARIFA KWA UMMA: FEDHA YA ZAMBIA KUANZA KUTUMIKA TANZANIA

Loading...

Magavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga, na Benki Kuu ya Zambia, Dkt. Denny Kalyalya, wanatarajia kutia saini makubaliano ya kuruhusu matumizi ya fedha za nchi mbili za Tanzania-Shilingi na ile ya Zambia-Kwacha katika kufanya biashara na uwekezaji katika miji ya mpakani ya Tunduma na Nakonde.

Na Paskali Joseph.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
TAARIFA KWA UMMA: FEDHA YA ZAMBIA KUANZA KUTUMIKA TANZANIA TAARIFA KWA UMMA: FEDHA YA ZAMBIA KUANZA KUTUMIKA TANZANIA Reviewed by By News Reporter on 9/20/2018 06:55:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.