Chanjo mpya ya kuzuia kifua kikuu kwa vijana na watu wazima imetangazwa. Moja ya jarida maarufu la afya, England Medical Journal, lilichapisha matokea ya jaribio lililopewa jina la GlaxoSmithKline (GSK) siku ya Jumanne.
Uchunguzi wa mara ya pili ulifanyika uliojumuisha washiriki zaidi ya 3,000 kutoka nchi za Afrika Kusini, Zambia na Kenya wenye umri kati ya 18 na 50, wote wakiwa na maambukizi chanya ya kifua kikuu.
Washiriki waliojaribiwa chanjo hiyo walioonekana kutokuwa na maambukizi kwa 54% chini ya wale ambao hawakupatiwa chanjo.
Habari hii ilikuja siku moja kabla ya kufanyi

Loading...
a mkutano wa Umoja wa Mataifa ambao haujawahi kutokea uliodhamiria "Kuharakisha juhudi za kumaliza ugonjwa wa TB na kuwafikia waathiriwa wote ili kuzuia maambukizi zaidi na kuwalinda".
Hata hivyo, matokeo ya majaribio yana takwimu za kujiaminisha. Kwa lugha ya kiufundi tunasema ufanishi ni asilimia 95 ambapo inauwezekano wa kulala kati ya ufanisi 2.9% hadi 78.2%. Kwa watu wakawaida hii inamaanisha mapungufu ni mengi katika uwakika wa tiba. Kwa ufanisi wa 2.9%, bado haifai kuingizwa sokoni.
Hii inamaanisha kuna haja ya kufanyika jaribio la tatu la chanjo, ambalo litakuwa kubwa zaidi kuliko jaribio la awamu ya II, Hata hivyo haijafaamika kama jaribio hilo litafanyika au la.
Na Cecilia Paul.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

CHANJO YA UGONJWA WA TB YALETA MATUMAINI MAPYA
Reviewed by By News Reporter
on
9/30/2018 01:28:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: