Tamko la rais wa Sudani Kusini lililosomwa katika kituo cha redio ya taifa SSBC limefahamisha kwamba rais Salva Kiir ameamuru kuachwa huru kwa wafungwa wote wa kisiasa na kivita nchini humo.
Baada y
Baada y
Loading...
kusainiwa makubaliano ya amani na kiongozi wa upinzani nchini humo Riek Machar, rais Kiir ameamuru kuachwa huru kwa wafungwa wote wa kisiasa Ijumaa.
Rais Salva Kiir na viongozi wa waasi wa zamani nchini Suadani Kusini Riek Machar walisaini makubaliano ya kusitisha mapigano wiki mbili zilizopiti mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Na Joshua Makande.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

RAIS KIIR WA SUDAN AAMURU WAFUNGWA WAACHIWE
Reviewed by By News Reporter
on
9/30/2018 03:05:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: