Loading...

HATIMAYE INDIA YARUHUSU MAPENZI YA JINSIA MOJA, MASHOGA WASHEHEREKEA

Loading...
NEW DELHI, INDIA - Katika kufurahia ushindi mkubwa wa haki za mashoga, Mahakama Kuu ya nchini India leo Alhamisi uliamua kutoa uhuru na kupinga sheria ambayo ilikuwa ikipingana na ushoga toka enzi za kikoloni na kutoa uwanja faraja kwa makundi ya watu hao.

Baada ya majuma kadhaa ya majadiliano katika Mahakama Kuu na miongo kadhaa ya mapambano na Wahindi mashoga, Jaji Mkuu, Dipak Misra, alisema kwamba sheria ya kikoloni inayojulikana kama 'Kifungu cha 377' ikiuwa "isiyo ya maana, isiyofaa na ya wazi kabisa."

"Tunapaswa kutoa jitihada za kuadhibu na badala yake tuwawezeshe wananchi wote," alisema katika chumba cha mahakama.

Mahakama hiyo ilisema kuwa mashoga walikuwa na haki ya kulindwa na katiba chini ya sheria za India na kwamba ubaguzi wowote unaohusishwa na ngono utakuwa kinyume cha sheria.

Kote nchini humo, milipuko ya furaha ilitanda na baadhi ya watu walikasirika pia.

Mashoga walikumbatiana, walicheza, walibusiana na kulia vilio vya furaha huko Bangalore.
Na Geofrey Mashaka.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
HATIMAYE INDIA YARUHUSU MAPENZI YA JINSIA MOJA, MASHOGA WASHEHEREKEA HATIMAYE INDIA YARUHUSU MAPENZI YA JINSIA MOJA, MASHOGA WASHEHEREKEA Reviewed by By News Reporter on 9/06/2018 04:24:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.