Loading...
Honorata Nakatto, 44, ni mwalimu wa sekondari kutoka wilaya ya Kayunga, Uganda. Ameishi katika ndoa kwa miaka 22 lakini hakubahatika kupata mtoto wala kushika uja uzito.
Mwaka 2016, alitembelea katika Hospitali ya Wazazi ya Wazazi ya Kitaifa huko Bukoto na baada ya uchunguzi, Dkt. Edward Tamale Sali aligundua kuwa mirija yake ya uzazi imeziba.
Alipendekeza azae kwa kupandikiza mbegu nje ya mfumo wake wa uzazi kitaalamu njia hiyo inaitwa Vitro Fertilization (IVF). Ni mchakato wa kisayansi ambapo ovari (mayai) hutolewa kutoka kwa mwanamke na manii kwa mwanaume na upandikizwaji ufanyika maabara katika test tube.
"Wakati kijusi kikitengenezwa, hurudishwa tena ndani ya mwanamke," Dkt. Sali alieleza.
Nakatto alifanya mchakato huo mwezi Januari 2018. Dkt Sali aliondoa mayai sita kutoka kwake, lakini baada ya wiki sita, mionzi ilionyesha ni kijusi kimoja tu kilitoweka/kufa.
Kwa watano waliobakia, hata hivyo, waliendelea kukua hadi mwisho wa majuma, alifanikiwa kujifungua watoto watano wasichana watatu na wavulana wawili wenye uzito kati ya 1.3kg hadi 1.7kg.
Nakatto ambaye anaonekana kuwa mwenye afya dhaifu bado yupo hospitali ila watoto wanendelea vizuri. Lakini anaomba msaada ili asaidiwe namna ya kulea watoto hao watano.
Na Neema Joshua.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

HATIMAYE MGUMBA WA MIAKA MINGI AJIFUNGUA PACHA 5
Reviewed by By News Reporter
on
9/25/2018 09:24:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: