Loading...
Waanzilishi wa mtandao maarufu wa kijamii duniani wa Instagram miaka nane iliyopita wametangaza rasmi kung'atuka katika kampuni hiyo.
Kelvin Systrom na Mike Krieger hakufafanua sababu ya kujiuzulu kwao katika kampuni hiyo, ambayo ilinunuliwa na facebook miaka sita iliyopita kwa dola za Marekani $1 bilioni.
Kampuni hiyo imetoa taarifa hiyo jioni Jumatatu kuthibitisha Bw Systrom na Bw Krieger, afisa mtendaji mkuu na afisa wa ufundi mkuu, walitangaza uamuzi wao wa kuondoka.
Bw Systrom aliandika katika chapisho la blogu kwamba wanatarajia kuchukua muda na ili kuchunguza "udadisi wetu na ubunifu tena".
Instagram ni bidhaa ya Facebook inayokuwa kwa kasi kwa kigezo cha mapato, ingawa inamatangaza milioni nne pungufu ukilinganisha na tovuti mama.
Ina zaidi ya watumiaji bilioni 1 ambao ni hai kila mwezi na imekua zaidi kwa kuongeza vipengele kama ujumbe na video fupi. Mnamo 2016, iliongeza uwezo wa kuchapisha slideshows zinazopotea kwa masaa 24, nakala ya kipengele maarufu cha "stori" za Snapchat.
Na Godwin Peter.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

WAANZILISHI WA INSTAGRAM WAJIUZULU, BOSI WA FACEBOOK TUMBO JOTO
Reviewed by By News Reporter
on
9/25/2018 03:35:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: