Loading...
Mtu mmoja amejitia kitanzi mjini Kisii baada ya mke wake kukataa kumpa tendo la ndoa la mchana. Kisa hicho kilitokea katika eneo la Menyinkwa, Kaunti ya Kisii.
Kwa mujibu wa ripoti ya gazeti moja la huko nchini Kenya ambalo lilieleza kuwa, jamaa huyo kwa jina Sammy Ombati alizozana na mke wake, Vivian Bosibori kuhusu haki yake hiyo kabla ya kujinyonga.
Bosibori alitoroka na kumwacha Ombati ndani ya nyumba na hatimaye akapatikana amejitia kitanzi, gazeti hilo limeripoti.
Chifu wa eneo hilo Boniface Osoro alithibitisha kisa hicho kuwa, Ombati alijitia kitanzi kwa kujining’iniza katika paa la nyumba yao ya kupanga.
Polisi baadaye walifika na kuuteremsha mwili wa marehemu na kuupeleka kuhifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Rufaa na Mafunzo ya Kisii, huku uchunguzi zaidi ukiendelea.
Na Geofrey Okechi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

VISA NA MIKASA: JAMAA AJINYONGA KISA TENDO LA NDOA
Reviewed by By News Reporter
on
9/26/2018 09:43:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: