Loading...

MARAPA CARDI B NA NICKI MINAJ WAZICHAPA LIVE

Loading...
Nicki Minaj Na CardiB wamezichapa na kutaka kuumizana wakati wote wanaingia kwenye party kubwa ya mastaa ya Harper,s Bazaar ICONS Fashion Week Mjini New York usiku wa kuamkia leo.

Video inaonyesha Cardi B akivua viatu na kuanza kumrushia Nicki Minaj, Wigi la Cardi B limechomoka wakati wa Ugomvi, .

Nicki Alikuwa anapiga picha na Kelly Rowland na La La Anthony na Cardi B akapita katikati, Nicki alikanyaga gauni la Cardi kwa makusudi na ngumi zikaanza.

CardiB ameumia Usoni sehemu ya jicho la upande wa kushoto
Mashahidi wengine wanasema Nicki hakufanya chochote kumuudhi Cardi B na ugomvi ulivyoanza alitulia tu bila kusema wala kufanya chochote.
Na Catherine Kisese.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MARAPA CARDI B NA NICKI MINAJ WAZICHAPA LIVE MARAPA CARDI B NA NICKI MINAJ WAZICHAPA LIVE Reviewed by GEOFREY MASHEL on 9/08/2018 12:33:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.