Loading...

HIZI NDIO SEHEMU ZA BATA WEEKEND HII

Loading...
MISS TANZANIA FINAL
Lini: Jumamosi, Septemba 8
Mahali: JKICC, Dar es Salaam
Kwanini: Kinyang'anyiro cha
muda mrefu kufikia tamati
huku akipatikana mrembo atakaye
vikwa taji la ushindi.

SAMAKI SAMAKI
Lini: Ijumaa, Septemba 7
Mahali: Masaki, Dar es Salaam
Kwanini: Muda wa kutoa uchovu
wa kipindi cha wiki nzima baada
ya kazi ngumu kwa muziki mzuri
na vinywaji murua.

ON THE ROCKS
Lini: Ijumaa, Septemba 7
Mahali: High Spirit Lounge
Kwanini: Imetajwa kuwa ndio
sehemu mwana kwa kupata
burudani za uwakika na pombe
za bei rahisi.

CLUB LEGENDS
Lini: Jumamosi, Septemba 8
Mahali: Club Legend
Kwanini: Ni usiku kwa hakuna
mwingine tunapokumbuka
kumbukumbu za nyuma kwa 
muziki mzuri na Muziki kutoja
kwa MADJ wakali wa Tanzania
Na Bakari Mussa.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
HIZI NDIO SEHEMU ZA BATA WEEKEND HII HIZI NDIO SEHEMU ZA BATA WEEKEND HII Reviewed by By News Reporter on 9/07/2018 05:50:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.