Loading...

SEHEMU ZA BATA WEEKEND HII

Loading...
SAMAKI SAMAKI
Lini: Ijumaa, Septemba 21
Mahali: Masaki, Dar es Salaam
Kwanini: Muda wa kutoa uchovu
wa kipindi cha wiki nzima baada
ya kazi ngumu kwa muziki mzuri
na vinywaji murua.

KIMYA KIMYA LOUNGE
Lini: Jumamosi, Septemba 22
Mahali: Maweni Kigamboni
Kwanini: Mwisho wa wiki ni huu
unakila sababu ya kujiweka mbali
na kelele zote jiji. Kiwanja hiki
kinakupatia mechi mubashara na
lounge za burudani.

ON THE ROCKS
Lini: Ijumaa, Septemba 21
Mahali: High Spirit Lounge
Kwanini: Imetajwa kuwa ndio
sehemu mwana kwa kupata
burudani za uwakika na pombe
za bei rahisi.

BSS AUDITION
Lini: Jumamosi, Septemba 22
Mahali: La Cairo Hotel
Kwanini: Una kitu kitakachoweza
kukufanya uwe staa? Basi bila shaka
hii ni fursa ya kuthibitisha hilo na
kung'ara katika mwanga uliofifia.
Na Farida Bernard.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
SEHEMU ZA BATA WEEKEND HII SEHEMU ZA BATA WEEKEND HII Reviewed by By News Reporter on 9/21/2018 01:55:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.