Loading...

RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KWA WAHANGA WA AJALI YA MV NYERERE

Loading...
“Nimeshtushwa na kusikitishwa sana na ajali ya MV Nyerere, nawapa pole wote waliopoteza jamaa zao na nawaombea wote walionusurika kupona haraka, kwa wakati huu nawaomba tutulie wakati juhudi za uokoaji zinaendelea” ni maneno ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Magufuli akitoa pole kwa wahanga wa ajali ya MV. Nyerere
Salamu hizo zimetolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Gerson Msigwa akiwa ameambatanisha na picha ya ajali ya kivuko hicho.
Na Hamisi Fakhi.

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KWA WAHANGA WA AJALI YA MV NYERERE RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KWA WAHANGA WA AJALI YA MV NYERERE Reviewed by By News Reporter on 9/21/2018 01:10:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.