Loading...

SERIKALI YATANGAZA KIHAMA ASASI ZA KIRAIA

SERIKALI imetoa siku 30 kwa asasi za kiraia (NGO) kufanyiwa uhakiki ikiwamo kupeleka taarifa za fedha, mahali zilipozitoa vinginevyo zitafutiwa usajili.

Agizo hilo lilitolewa jana na Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Dk Faustine Ndugulike ambaye alisema kuanzia sasa NGO zitalazimika kufanya shughuli zake kulingana na vipaumbele vya nchi. Mashirika yanayotakiwa kupeleka uhakiki huo n
Loading...
yote ikiwamo yaliyosajiliwa na Wizara ya Mambo ya Ndani, Wakala wa Ufilisi na Udhamini (Rita) na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela).

Mkurugenzi anayeshughulikia NGO Wizara ya Afya, Tausi Mattaba alisema uhakiki wa awali ulibaini mashirika 513 yalisajiliwa kwa sheria tofauti.
Na Haika Gabriel.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
SERIKALI YATANGAZA KIHAMA ASASI ZA KIRAIA SERIKALI YATANGAZA KIHAMA ASASI ZA KIRAIA Reviewed by By News Reporter on 9/29/2018 07:49:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.