Loading...

SWAHIBA WA GRACE MUGABE MBARONI

Harare, Zimbabwe. Waziri wa zamani, Saviour Kasukuwere ametiwa mbaroni na kukamatwa kwake kulifanikishwa baada ya polisi Zimbabwe kuomba msaada wa jeshi la kimataifa interpol, Mahakama ya Hakimu Mkazi Harare iliambiwa Jumanne.

<
Loading...
span>
Kasukuwere ambaye alikuwa Waziri wa Serikali za Mitaa enzi za Rais Robert Mugabe, alitiwa mbaroni Jumatatu na akafikishwa mahakamani Jumanne ambako anashtakiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka yanayohusiana na ukiukwaji wa mchakato wa zabuni badala yake ekari kadhaa za ardhi ya Serikali alipewa dada wa Grace Mugabe.
Na Hamisi Juma.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
SWAHIBA WA GRACE MUGABE MBARONI SWAHIBA WA GRACE MUGABE MBARONI Reviewed by By News Reporter on 9/27/2018 06:21:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.