Loading...

MATANGAZO: NAFASI ZA KAZI

Nafasi ya 1: Kampuni ya GNM IMPORT AND EXPORT (T) LTD inatangaza nafasi za kazi idara ya masoko.

SIFA ZA MUOMBAJI
1. Awe na elimu ya masoko kuanzia diploma na kuendelea.
2. Awe na uzoefu wa masoko zaidi ya mwaka mmoja.
3. Awe na uwezo mkubwa wa kushawishi wateja.
4. Awe na Umri wa kuanzia miaka 18 hadi 30.

Maombi yatumwe kwa njia ya barua pepe gnmtradco@yahoo.com, au yawasilishwe moja kwa moja katika ofisi zetu zilizopo Kariakoo msimbazi jengo la Edi Zungu mkabala na Azania Bank.

Anwani meneja GNM IMP
Loading...
RT & EXPORT (T) LTD
P.O.Box 22439
DAR ES SALAAM

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 01/10/2018, Piga simu No:. 0758796526

Nafasi ya 2: The Amazon Driving School inahitaji walimu/wakufunzi wa udereva (Driving Instractors).
Mwombaji awe na leseni ya kufundishia udereva Driving Instractor License kutoka chuo cha NIT na awe na Jeshi la Polisi.

PIGA SIMU - 0758285589 Au 0719925163

Na Catherine Kisese.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MATANGAZO: NAFASI ZA KAZI MATANGAZO: NAFASI ZA KAZI Reviewed by By News Reporter on 9/27/2018 06:54:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.