Mwanadada Wema Sepetu amemtupia lawama kubwa Hamisa Mobeto baada ya mwanadada huyo kukumbwa na skendo ya kuwa amekuwa akitaka kuiloga familia ya msanii Diamond ambae ni baba wa mtoto wake wa kiume.
Akiandika waraka mrefu katika ukurasa wake wa instagram, Wema Sepetu anasema kuwa Mange Kimambi alipaswa kuwa mshauri mzuri kwa hamisa na sio kumfanya mpaka anakwenda kwa waganga wa kienyeji kwa ajili ya mambo yake.
Huku akimcheka kuwa ameshindwa kufanya vitu vyake kwa siri mpaka amebambwa Wema sepetu pia anakataa kujihusisha na kitu chochote ambacho kin

Loading...
husiana na Hamisa ilhali mashabiki wanamwambia kuwa kama angetaka asiingizwe huko basi alipaswa kutujihusisha tangu zamani.
kwa madai ya Wema ni kwamba Mange Kimambi amekuwa akimdanganya Hamisa na kwamba amekuwa hampi ushauri mzuri kuhusu maisha yake na nini cha kufanya ili kufanikiwa, lakini pia wema anasema kuwa kwa hamisa hata afanye nini pamoja na uchawi wake hatakaa na haweze kufika level zake.
"…….Usimdanganye huyo mtoto mchawi kuwa anaweza kuwa mimi hata siku moja,,, hawezi na hatokaa haweze tu..medharirika na itabaki kuwa hivyo…aibuuuuuuuuuuuu sana Mungu wangu.. yaaan hata azikiri u*** hawezi" aliandika Wema.
Na Catherine Kisese.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

WEMA SEPETU AMVAA HAMISA KUHUSU TUHUMA ZA UCHAWI
Reviewed by GEOFREY MASHEL
on
9/05/2018 11:48:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: