Loading...

AKUMBUKWE SHUJAA GADDAFI KUTAKA AFRIKA KUWA MOJA

Loading...
Siku kama ya leo 20 Oktoba, 2011, aliyekuwa kiongozi na rais wa Libya, Moammar Gaddafi aliuawa na majeshi ya waasi karibu na nyumbani kwake mjini Sirte.

Kiongozi huyo aliingia madarakani miaka ya 1969 na kuongoza nchi hiyo kwa takribani maiaka 42, kile kilichompelekea kuitwa 'dikteta' na mataifa ya Magharibi kwamba anaibana demokrasia ya nchi hiyo.

Akumbukwe shujaa huyo aliyeyafanyia mengi Afrika.
Na Frank Kavikule.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
AKUMBUKWE SHUJAA GADDAFI KUTAKA AFRIKA KUWA MOJA AKUMBUKWE SHUJAA GADDAFI KUTAKA AFRIKA KUWA MOJA Reviewed by By News Reporter on 10/20/2018 09:28:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.