Loading...
Kuna vitu vingi wanyama wanaweza kufanya ila binadamu asiweze hata kujaribu. Hapa tunamuona 'Mjusi Yesu' akilidhihirisha hilo kwa kile alichokizoea kukifanya kwa kutembea juu ya maji.
Uwezo wa kutembea juu ya maji inaonekana kwa wengi wetu kwamba swala hilo linawezekana kibiblia tena kwa Yesu pekee.
Ijapokuwa, kwa wanyama, kutembea juu ya maji sio swala la kiimani (linahitaji nguvu za kiroho). Mjusi anayejulikana kwa jina la Basilisk kwa jina maarufu, Mjusi Yesu, ana uwezo wa kipekee kutembea juu ya maji.
Huo uwezo wake wa kutembea unadhihirika kifizikia kutokana na kuwa na uzito mdogo wa gramu 200, na kutumia utando mwembamba uliyopo juu ya vilindi vya maji.
Na Jackline Mobeyo.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

FAHAMU MAAJABU YA 'MJUSI YESU'
Reviewed by By News Reporter
on
10/20/2018 10:29:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: