Loading...

BAADA YA MO KUPATIKANA KAMANDA SIRRO ASEMA HAYA

Loading...
IGB Sirro akiwa mbele ya Wanahabari amesema kuwa watu waliomteka Mohammed Dewji walikuwa wakiongea Kiingereza na Kiswahili cha hovyohovyo.

"Ingawa Mo Dewji amepatikana lakini uchunguzi wa kwake unaendelea. Kwenye gari tumeikuta AK47 moja ikiwa na risasi 19 pamoja na bastola 3 na risasi zake 16, " alisema kamanda Sirro.

Aliendelea kusema: "Watekaji walijaribu kulichoma moto gari walilotumia katika uhalifu wao ili wapoteze ushahidi lakini nadhani hawakufanikiwa kwa sababu ya hofu."
Na Paskali Joseph.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
BAADA YA MO KUPATIKANA KAMANDA SIRRO ASEMA HAYA BAADA YA MO KUPATIKANA KAMANDA SIRRO ASEMA HAYA Reviewed by By News Reporter on 10/20/2018 12:18:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.