Loading...
Leo October 11, 2018 Mfanyabiashara maarufu nchini MO Dewji inadaiwa ametekwa watu wasiojulikana alfajiri ya leo akiwa anaingia Gym ya Colisseum kufanya mazoezi.
Shuhuda (jina kapuni) aliekuwa eneo la tukio alidai “Akiwa anaingia Gym wamepiga risasi juu wakakimbia nae”.
Taarifa kamili zitakuja hivi punde.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

BREAKING NEWS: MFANYABIASHARA MO DEWJI INADAIWA KATEKWA ALFAJIRI YA LEO
Reviewed by By News Reporter
on
10/11/2018 08:58:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: