Mama wa staa maarufu wa bongo fleva Diamond Platinumz, Bi. Sandra katika picha za hivi sasa zimewafanya mashabiki zake kuanza kufikiri kwamba atakuwa na uja uzito mkubwa wa mtoto wake wa tatu.
Naam, katika mahojiano, alithibitisha kuwa yeye ana mimba na mumewe kijana, Rally Jones.
"Diamond atapata mdogo wake ... basi subirieni mdogo wake wa mwisho," alisema.
Baada ya uhusiano wao kuwa wazi, mama huyo wa wawili alipata upinzani mkubwa kwa kufuata 'njia ya Zari Hassan' kwa kujibebisha kijana mdogo aliyemzidi umri.

Loading...
style="font-family: "verdana" , sans-serif;">
Mama Diamond alijitokeza na kutetea uhusiano wake akidai kwamba Rally sio mdogo na ukizingatia yeye atazami umri kama kigezo katika mahusiano yake.
"Nimeolewa ... Ana udogo gani? Asingeoa. Ni mkubwa," alisema.
Mapema mwaka huu, Rally Jones aliwasha moto mtandao wa kijamii baada ya kuweka wazi kuwa anatoka na mama Dangote kama mke wake.
Picha za sasa za mama Dangote zinamuonyesha akiwa mnene sana na inaashiria uja uzito ushakuwa mkubwa sana.
Na Joseph Ngowi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

DIAMOND MBIONI KUMKARIBISHA MDOGO WAKE
Reviewed by By News Reporter
on
10/01/2018 02:00:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: