Loading...
Salamu kwenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:
• Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,
• kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
• Kusahausahau,
• Kupendelea story za mapenzi,
• Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
• Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo
yasiyokuhusu),
• Kuumwa na kichwa,
• Kukakamaa mgongo (wanaume),
• Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
• Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
• Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
• Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala
kama ulevi n.k.
Na Catherine Kisese.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

FAHAMU MADHARA YA KUTOFANYA TENDO LA NDOA MUDA MREFU
Reviewed by By News Reporter
on
10/29/2018 08:30:00 AM
Rating:
![FAHAMU MADHARA YA KUTOFANYA TENDO LA NDOA MUDA MREFU](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhLhQ7Nj_5pRGd35CHgALrbbH7uiw_bf5YNt6nPQfkbx7aEFkydKMDyrSRi1tf5vcrB1H7b2yIMr8mD9MHx0MiHA4mmEZ9tdrhbBGv-r8KUHpubVXQaE32iW9-ddEVL8TSKJQl8k8LSY80/s72-c/FAHAMU+MADHARA+YA+KUTOFANYA+TENDO+LA+NDOA+MUDA+MREFU.jpg)
Hakuna maoni: