Loading...
Hii imetokea kwenye game kati ya Wenyeji Leicester dhidi ya wageni Westham United ambayo imemalizika kwa sare ya goli 1- 1
Taarifa za awali zinaonyesha kwamba Mh Mwenyekiti hakuwemo ndani ya helikopta hiyo wakati wa ajali , Police wanachunguza mkasa huo
Klabu ya Leicester City imethibitisha kuwa Mwenyekiti na Mmiliki wake, Vichai Srivaddhanaprabha ni miongoni mwa watu watano waliofariki kufuatia kuanguka kwa helikopta usiku wa Jumamosi Oktoba 27
Mfanyabiashara huyo raia wa Thailand mwenye miaka 60 alikuwa kwenye helikopta yake iliyokosa uelekeo na kuanguka kwenye maegesho ya magari nje ya uwanja wa Leicester City, King Power
Polisi inasema watu wengine wanne waliofariki wanaaminika kuwa Wawili ni miongoni mwa wafanyakazi wa Srivaddhanaprabha, Nursara Suknamai na Kaveporn Punpare, Rubani Eric Swaffer na abiria Izabela Roza Lechowicz
Hakuna mtu aliyejeruhiwa katika tukio hilo lililotokea muda mfupi baada ya mechi ya Leicester na West Ham kumalizika
Srivaddhanaprabha aliyekuwa akimiliki Kampuni ya King Power Duty Free, aliinunua klabu hiyo Agosti 2010 na kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti kwenye kipindi cha chini ya miezi sita baadae
Chini ya uongozi wake, Leicester ilipanda Ligi na kishiriki Ligi Kuu mwaka 2014 na kufanikiwa kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu mwaka 2015/16
Na Paskali Joseph.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

TANZIA: MMILIKI WA TIMU YA LEICESTER CITY YA ENGLAND AFARIKI DUNIA
Reviewed by By News Reporter
on
10/29/2018 07:58:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: