Loading...

HABARI ZA HIVI PUNDE: BASI LA IBRA LINE LATEKETEA KWA MOTO

Loading...
Basi la kampuni ya Ibra Line linalofanya safari zake Dar es salaam kwenda Masasi limewaka moto mchana huu maeneo ya Nangurukulu wilaya ya Kilwa mkoani Lindi.

Kwa taarifa za awali kutoka eneo la ajali hiyo ya moto, bado chanzo chake hakijafahamika mara moja huku kukiwa hakuna madhara kwa abiria waliokuwa wakisafiri na basi hilo.

Kaa karibu na mtandao wako, taarifu zaidi zinakuja.

Na Geofrey Okechi.


Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
HABARI ZA HIVI PUNDE: BASI LA IBRA LINE LATEKETEA KWA MOTO HABARI ZA HIVI PUNDE: BASI LA IBRA LINE LATEKETEA KWA MOTO Reviewed by By News Reporter on 10/19/2018 02:50:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.