Loading...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wenyeviti 8 na mtendaji 1 watakaoongoza bodi za taasisi za Serikali baada ya wenyeviti waliokuwepo kumaliza muda wao.
Rais Magufuli amemteua Prof. Joyce L.D Kinabo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (Tanzania Food and Nutrition Centre -TFNC). Prof. Joyce Kinabo ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Idara ya Sayansi na Teknolojia ya Chakula.
Rais Magufuli amemteua Prof. Costa Mahalu kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU).
Rais Magufuli amemteua Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Mhe. Sauda Mjasiri kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (Public Procurement Appeals Authority – PPAA).
Rais Magufuli amemteua Mhandisi Leonard Kapongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (Public Procurement Regulatory Authority – PPRA).
Rais Magufuli amemteua Prof. Elifas Tozo Bisanda kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO).
Rais Magufuli amemteua Dkt. Selemani B. Majige kuwa Mwenyekiti wa Kampuni ya Puma Energy Tanzania.
Rais Magufuli amemteua Bw. Julius Ndyamukaka kuwa Mwenyekiti wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA).
Rais Magufuli amemteua Mej. Jen. Mstaafu Hamis R. Semfuko kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hifadhi ya Wanyamapori (TAWA).
Rais Magufuli amemteua Prof. Romanus Cleophace Ishengoma kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF).
Uteuzi wa wenyeviti hawa umeanza jana tarehe 26 Oktoba, 2018.
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
26 Oktoba, 2018.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

JPM AWATEUA WENYEVITI 8 WA BODI ZA TAASISI ZA SERIKALI
Reviewed by By News Reporter
on
10/27/2018 08:20:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: