Loading...
Watu watano wafariki dunia katika ajili ya matatu kwenye barabara ya Narok-Mai Mahiu. Ajali hiyo imehusisha Daladala ya Kampuni ya Transline Classic iliyogongana na Lori lililokuwa limebeba Samaki katika eneo la Suswa kwenye barabara Narok-Mai Mahiu nchini Kenya
Baadhi ya abiria katika daladala hiyo yenye uwezo wa kubeba wanadaiwa kuwa Wanafunzi wa shule
Wakazi wa eneo hilo walipigwa na butwaa baada ya kuona samaki wakiwa wametapakaa barabarani
Ajali hii inakuja ikiwa ni takribani mwezi mmoja tangu watu 60 wanusurike kwenye ajali katika barabara hiyo baada ya gari walilokuwa wakisafiria kushika moto na kuteketea kwa moto huo.
Na Marry Mkeu.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

WATANO WAFA PAPO HAPO KATIKA AJALI MBAYA NCHINI KENYA
Reviewed by By News Reporter
on
10/27/2018 08:26:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: