Loading...
Mchumba wa mwanadada Lulu michael amefunguka na kuweka bayana ujio mpya wa mpenzi wake huyo kwa kuweka kipande kidogo cha picha inayoonekna kuwepo jikoni kwa sasa.
Huku ikiwa ni zaidi ya mwaka sasa tangu mwanadada Lulu Michael awe kimya katika mitandao ya kijamii na pia katika televisheni tangu alipokumbwa na hukumu ya kesi ya kuua bila kukusudia, mwanadada lulu michael amekuwa akisubiriwa kwa hamu na kila shabiki yake.
Katika ukurasa wake wa instagram Majizo aliandika "back to bussiness"
Mwanadada Lulu Michael anarudi katika tsnia akiwa tayari amesubiriwa kwa muda mrefu na mashabiki zake.
Na Geofrey Okechi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

LULU MICHAEL KURUDI RASMI KWENYE FILAMU
Reviewed by GEOFREY MASHEL
on
10/20/2018 07:35:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: