Loading...

MAJIZO AMVISHA PETE YA UCHUMBA LULU

Ile ndoto na stori iliyokuwa ikisubiriwa kwamuda mrefu kuhusu mahusino ya mwanadada Lulu Michael na majizo ambae ni bosi wa EFM imkeuwa yenye kheri baada ya mwanaume huyo kuamua kumvisha pete ya uchumba mwandada lulu siku ya Jumapili septemba 30.

Majizo na Lulu wamekuwa katika
Loading...
mahusiano kwa muda mrefu na hata kwanadada lulu michael alipokuwa katika kesi yake ya kuuua bila kukusudia mwanaume huyo alikuwa nae bega kwa bega.

Hata hivyo kati ya watu waliohudhuria kitendo hicho ni pamoja na mhe. Paul Makonda amabaye tangu hapo awali akithubutu kusema kuwa atahakikisha mwanadada Lulu anafunga ndoa na bosi huyo la sivyo atadiriki kumfunga.
Na Peter Godwin.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MAJIZO AMVISHA PETE YA UCHUMBA LULU MAJIZO AMVISHA PETE YA UCHUMBA LULU Reviewed by GEOFREY MASHEL on 10/01/2018 07:00:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.