Loading...

WHO: WATU ZAIDI YA 20,000 HUFARIKI KWA KICHAA CHA MBWA BARANI AFRIKA

Kulingana na takwimu zilizotolewa na shirika la afya ulimwenguni WHO, kila mwaka watu wasiopungua 20,000 hufariki kwa kichaa cha mbwa barani Afrika.

Kichaa cha mbwa husababishwa na  virusi vinavyoenezwa na wanyama tofauti ikiwemo mbwa.

Vifo hivyo husab
Loading...
bishwa na mbwa ambao hawakuchanjwa kuzuia virusi.

Watu  wameripotiwa  kufariki  nchini Kenya. Makaazi katika vijiji tofauti hufuga mbwa kwa ajili ya usalama.

Shirika la afya ulimwenguni limekwishatumia  kiwango cha dola zaidi ya 8,6 katika miradi ya kukabiliana na kichaa cha mbwa.
Na Timoth Anthony.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
WHO: WATU ZAIDI YA 20,000 HUFARIKI KWA KICHAA CHA MBWA BARANI AFRIKA WHO: WATU ZAIDI YA 20,000 HUFARIKI KWA KICHAA CHA MBWA BARANI AFRIKA Reviewed by By News Reporter on 10/01/2018 07:27:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.