Loading...
Mhubiri Penuel Munguni wa Afrika Kusini, maarufu kama 'Snake Pastor' amegonga vichwa vya habari kwa mara nyingine wakati huu akiwapa kondoo wake nyama na damu ya mbwa kwa madai ya kuwaponya maradhi ya Ukimwi na Saratani.
Kwa mujibu wa jarida la TimesLIVE, Picha zilizowasisimua wengi mitandaini zilitumwa kwenye ukurasa wa facebook wa End Times Disciples Ministries.
Picha hizo zilimuonyesha mhubiri huyo akiwapa waumini wake nyama ya mbwa ili awaponye virusi vya Ukimwi.
Picha hizo zilikuwa nyingi zingine zilionyesha vyura wakichinjwa hadharani.
Katika picha na video hizo zilizopewa jina la ‘Sunday Live Holy Communion Service, mhubiri huyo alisikika akitoa kauli iliyowachanganya wengi kutokana vile wengine waliviita vioja.
Chapisho hilo lilizua hisia mseto kwenye mitandao ya kijamii huku wanotumia mtandao wa Facebook wakimkashifu mhubiri huyo.
Na Timoth Bakhari.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

MCHUNGAJI ANAYEWALISHA WAUMINI MBWA NA VYURA
Reviewed by By News Reporter
on
10/19/2018 11:23:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: