Loading...

MJUE BINADAMU MWENYE SURA MBILI

Loading...
Edward Mordake wa Uingereza alizaliwa mwaka 1887 akiwa na sura mbili, moja ya kawaida na nyingine ilikuwa kisogoni mwake. Sura hiyo ya pili ilikuwa haiwezi kuona, kula wala kuongea kwa sauti, isipokuwa ilikuwa ikitabasam pale alipokuwa na furaha na kulia pale alipokuwa na huzuni. 

Madaktari walishindwa kugundua nini cha kufanya lakini mwenyewe alitaka wamfanyie upasuaji wa kumuondoa, kitendo ambacho kilikuwa kigumu kwao. 

Mwenyewe alikuwa akisema kuwa nyakati za usiku sura hiyo ilikuwa ikimnong'oneza maneno ambayo mtu anaweza kuyaongea akiwa kuzimu tu.

Mwaka 1910 alifariki na habari zinasema kuwa aliamua kujiua, ambapo alikuwa na umri wa miaka 23.

//OR (English Version)

Edward Mordake of England was born in 1887 with two faces, one common and the other was on the back of his head. The duplicate face could not see, eat or speak out loud but was said to "sneer while Mordake was happy", "smile while Mordake was weeping" and wept when he was sad..

He was saying that in the nighttime the image was whispering to words that one could speak only in hell.

The doctors failed to find out what to do but they wanted to do a surgery, but no doctor would attempt it. According to the legend, Mordake committed suicide at the age of 23.

In 1910 he died and news reports that he decided to commit suicide.

Na Jafar Hussein.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MJUE BINADAMU MWENYE SURA MBILI MJUE BINADAMU MWENYE SURA MBILI Reviewed by By News Reporter on 10/07/2018 09:25:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.