Loading...

NAFASI 18 ZA AJIRA ZATANGAZWA KATIKA TAASISI ZA SERIKALI

Loading...
Nafasi za ajira zatangazwa katika Taasisi zifuatazo:-

- Taasisi ya Moyo ya Jakaya - Nafasi 15 za Nurse Officers na nafasi moja ya Biomedical Engineering Technician.

- Taasisi ya Utafiti Tanzania - Nafasi moja ya Research Officer.

- Chuo Cha Utalii Taifa (NCT) - Nafasi moja ya Tutor Grade II (Pastry and Backery).

Bofya hapa kupata maelezo zaidi: https://www.ajira.go.tz/wp-content/uploads/2018/10/VACANCIES-ANNOUNCEMENT-JKCI-TRIT-NCT-18-OCTOBER-2018.pdf

Barua za maombi zitume kupitia anwani hii;
Secretary,
President’s Office, Public Service Recruitment Secretariat,
27 Bibi Titi Mohammed Road,
P.O. Box 63100, Maktaba Complex,
11102 Dar Es Salaam.

NOTE: All applications must be sent through Recruitment Portal by using
the following address; http://portal.ajira.go.tz/ and not otherwise (This
address also can be found at PSRS Website, Click ‘Recruitment Portal’)

Na Frank Kavikule.


Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
NAFASI 18 ZA AJIRA ZATANGAZWA KATIKA TAASISI ZA SERIKALI NAFASI 18 ZA AJIRA ZATANGAZWA KATIKA TAASISI ZA SERIKALI Reviewed by By News Reporter on 10/19/2018 09:11:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.