Loading...
Jeshi la Polisi nchini linamsaka mchumba wa Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu anayefahamika kwa jina la PCK raia wa Burundi baada kusambaa mitandaoni kwa video za wapenzi hao wakipeana mahaba.
Mbali na video hizo, PCK anasakwa pia kwa kumtapeli kigogo mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (jina limehifadhiwa).
Pia aanhusishwa na biashara haramu ya madawa ya kulevywa Atajwa kwa biashara ya video za ngono Bongo Awafanyia ‘ushenzi’ mastaa kibao Abanwa.
Na Marry Mkeu.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

WEMA ATAPELIWA, KUMBE PCK NDIO ALIYESAMBAZA VIDEO ZA NGONO
Reviewed by By News Reporter
on
10/28/2018 09:42:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: